Kupatana Bei Za Magari Yanauzwa

Kununua magari bei poa yaliyotumika Dar es salaam kawaida huhusishwa na baadhi ya hatari kama vile historia ya gari isiyojulikana, magari yaliyopata ajali, bei ya juu kutokana na mabadiliko ya fedha za kigeni, hatari, n.k. Ili kupunguza haya na kupatana bei nzuri na wauzaji wa magari na showroom zingatia vidokezo vifuatavyo.

 

1. Tafuta Magari Used Yaliyotumika

Kutafuta hapa tunamaanisha kupata taarifa kuhusu magari unayoyapenda fanya utafiti katika Mtandao pia kutoka kwa marafiki, majirani na fundi magari n.k. GariPesa, pia tuna sehemu ya vidokezo na ushauri  kuhusu ununuzi wa gari, ambayo inakupa ushauri mwingi, Angalia Bei Za Magari Dar Es Salaam.

2. Bei Za Magari Used Tanzania

Ili Kupatana magari kwa bei poa, anza kutafiti bei za magari used yaliyotumika Dar es salaam. Kupitia GariPesa utaweza kuchagua magari yanauzwa Dar es salaam chagua gari lililo katika bajeti yako. Angalia  bei za magari used Dar es salaam na sio tu kutoka Dar es salaam pia kutoka Arusha, Mwanza, Kilimanjaro na showroom kote Tanzania

3. Angalia Kila Kitu Kwa Makini

Baada ya kupatana bei ya gari, angalia kila kitu ili kuhakikisha kuwa taarifa zote ni sawa kama zilivyozotangazwa. Utapeli wa magari used yaliyotumika ni maarufu jijini Dar es salaam hivyo tafadhali kuwa makini. hakikisha nyaraka zote zinajitosheleza.

Magari Yaliyotumika Yanauzwa Dar es salaam

IST
Passo
Rav4
Vanguard
Harrier
Crown
Prado
Cruiser V8
Alphard
Spacio

Toyota Sokoni

Mazda Sokoni

BMW Sokoni

Nissan Sokoni

Subaru Sokoni

Lexus Sokoni

M.Benz Sokoni

Mitsu Sokoni

Suzuki Sokoni

L.Rover Sokoni

Audi Sokoni

Suzuki Sokoni

Lexus Sokoni

BMW Sokoni

Toyota Sokoni

0

Magari Yenye Punguzo

Tutakutumia Moja Kwa Moja Kwenye E-Mail Yako. Hii Sio Ya Kukosa!

(Strictly No Spam)